- muweke mtoto apumzike sehemu yenye hewa ya kutosha na salama kama kitandani
- mpe fluids(maji,au juice ya matunda) kwa wingi hasa yenye Vitamin C
- anapokuwa na joto mpatie paracetamol (panadol) badala ya aspirin
- atahitaji uangalizi wa karibu au mpeleke kwa daktari kama kuna yafuatayo
- ana mafua mazito ambayo yanamkosesha kupumua vizuri
- mafua yanatoka mfululizo kama maji
No comments:
Post a Comment