Wednesday, February 13, 2013

VIPELE VYA ALLERGY KWA WATOTO....UTAVIGUNDUAJE?

Kwa kawaida vipele vya allergy kwa watoto huwaanzia usoni au kwenye mikunjo ya mikono na magoti na mara nyingi huwa vinawasha na mtoto hujikuna sana.

No comments:

Post a Comment